iqna

IQNA

Taqi Modarresi
Tafsiri za Qur'ani Tukufu na Wafasiri / 11
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya Qur'ani Tukufu ya Min Huda al-Qur'an iliyoandikwa na Ayatullah Seyed Mohammad Taqi Modarresi , mwanazuoni wa Iraq na mfano wa kuigwa, ni miongoni mwa tafsiri za kisasa za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476243    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/13